Nafasi za Kazi kufanya usafi Serengeti Sopa Lodge


2 May 2017 Facebook Twitter LinkedIn Google+ Nafasi za kazi


Nafasi za kazi: Usafi wa kwenye lodge

Idadi ya nafasi: 2
Uhitaji: Haraka
Hoteli: Serengeti Sopa Lodge
Kama unapenda kufanya kazi na kuishi porini changamkia nafasi hizi. Mshahara ni mzuri na malazi yanatolewa bure
Offer Status: Closed

 

Warning: Any job promise that requires you to pay is a SCAM, please AVOID it

This warning given by www.ajiranakazi.com Administration

Comments
 1. Naomi mollel said on 3 October 2017 7:30 pm:

  Mm ni Naomi mollel ,ni mtanzania,ninaomba nafasi hiyo ya kazi ya usafi ,iwapo nitapata nitashukuru

 2. Nelson k said on 1 February 2018 1:17 pm:

  Mimi ni Nelson Kiula kutoka Dar es salaam elimu yangu ni kidato cha sita nahitaji nafasi hiyo ya kazi ya usafi katika hotel yenu nawahakikishia ufanisi wa kazi endapo mtanipa nafasi hiyo mawasiliano yangu ni simu namba 0714422212

 3. Sarah Godfrey said on 20 February 2018 3:29 pm:

  My name is Sarah Godfrey, I’m Tanzanian lady of 22 years old, can I please get job opportunity there?? My number 0655313136, I’m from Arusha

 4. Frank Sabato said on 7 March 2018 4:56 pm:

  Mimi naitwa Frank Sabato toka Arusha naomba nafasi ya kazi Mimi nikijana mchapakazi no 0746666771